Redd's Miss Tanzania 2014
Warembo wakicheza shoo ya ufunguzi Miss Redd's 2014
Warembo na vazi la ufukweni
Walioingia TOP 15
Na hii ndo tano bora
Akivishwa crown baada ya kutangazwa mshindi
Na huyu ndo Miss Tz 2014
Sitti Mtemvu big up
Akipokea zawadi yake ya mfano wa hundi kutoka kwa Meneja wa kinywaji cha Redd's Victoria Kimaro
Baba naye hakuwa nyuma kumpongeza mwanaye mbunge wa Temeke Mh.Abbas Mtemvu..nyc
CONGRATS SITTI...!!!
No comments:
Post a Comment